Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania

TLSB Logo TLSB Logo
Tafuta kwenye kwa
Dkt. Mboni A. Ruzegea
Mkurugenzi Mkuu

Masaa Ya Kazi

Siku ya Juma Muda
Jumatatu - Ijumaa   9:00AM-07:00PM
Jumamosi   9:00AM-2:00PM
Jumapili & Sikukuu   Closed/Imefungwa

Dira Yetu

Kuwa Taasisi ya umma inayoongoza nchini katika kutoa na kusambaza taarifa mbalim...

Dhamira

Kutoa na kusambaza huduma sahihi kwa watu wote kwa wakati muafaka ili kuendeleza...

Mamlaka Yetu

TLSB ni chombo kilichopewa mamlaka ya kisheria ya kupata, kupanga, na kusambaza,...

Huduma Zetu

...
DIVISHENI YA UFUNDI

Divisheni ya ufundi inajishughulisha na uandaaji, uagizaji, utayarishaji na usambazaji wa machapisho katika Maktaba za Mikoa, Wilaya na Tarafa. Pia inatoa huduma  kwa  Vyuo, Taasisi za Serik...

...
KITENGO CHA WATOTO WADOGO NA SHULE ZA MSINGI

Divisheni ya Watoto na Shule (CSSD) hutoa huduma kwa watoto na wanafunzi, pia inahusika kutoa mwongozo katika uanzishaji wa maktaba za shule na vyuo, na kutembelea shule kuanzia za awali, msingi...

...
KITENGO CHA BIBLIOGRAFIA YA TAIFA (NATIONAL BIBLIOGRAPHICAL...

Kitengo cha Bibliografia ya Taifa ni  sehemu ya Maktaba ya Taifa ambayo inatekeleza  majukumu yafuatayo: •    Kuelimisha wachapishaji wa ndani juu ya namna bora ya k...

...
HUDUMA ZA USOMAJI KWA WATU WAZIMA (READERS SECTION DIVISION...

Divisheni ya watu wazima (RSD) hutoa huduma ya usomaji kwa watu wazima na miongozo mbalimbali ikiwemo jinsi ya kuanzisha, kuendesha na kutumia Maktaba nchini. VITENGO KATIKA DIVISHENI i. &n...

Maktaba Mtandao

...
Sayansi na Tecknolojia

Kitabu hiki ni cha tano katika mfululizo wa vitabu vitano vya somo la Sayansi na Teknolojia kuanzia Darasa la Tatu hadi la Saba. Kitabu hiki kimeandaliwa kulingana na muhtasari wa somo la Sayansi na T...

10 Nov,2022
...
Kidato cha 5 & 6 - Basic Applied Mathematics

Title: Basic Applied Mathematics Form5 & 6 Author: Tanzania Institute of Education Publisher of Book: Tanzania Institute of Education Year of publication: 2019 Country of Publication:...

09 Nov,2022
...
Jiografia kwa Shule ya Sekondari

Author: Tanzania Institute of Education Publisher of book: Tanzania Institute of Education Year of publication: 2019 Country of Publication: Dar es salaam, Tanzania   The book is d...

09 Nov,2022
...
Chemistry

Author: Tanzania Institute of Education Publisher of book: Tanzania Institute of Education Year of Publication: 2021 Country of Publication: Dar es salaam, Tanzania This textbook, Chemistr...

19 Oct,2022

Habari Mpya

...
MAADHIMISHO YA JUMA LA ELIMU YA WATU WAZIMA 2022

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bibi Rehema Madenge alifungua rasmi maadhimisho ya Wiki ya Elimu ya Watu Wazima mnamo Oktoba 19, 2022, katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUCE) Chang'...

08 Nov, 2022
...
UZINDUZI WA HEMA LA USOMAJI KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA...

Mkurugenzi Mkuu wa TLSB Dk. Mboni Ruzegea alizindua rasmi hema la kusomea vitabu kwenye Maonesho ya 31 ya Kimataifa ya Vitabu yaliyofanyika katika viwanja vya Posta, Kijitonyama, Dar es Salaam Ok...

08 Nov, 2022
...
UKARABATI WA TLSB MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM

Meneja Mradi wa Ukarabati TLSB Mhandisi Mayenga Magembe wa Halmashauri ya Jiji Ilala, amekabidhi maeneo yatakayofanyiwa ukarabati Maktaba Kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa Local Fundi, ili kuanza zoezi h...

08 Nov, 2022
...
KONGAMANO LA PILI LA KITAIFA LA HUDUMA ZA MAKTABA, MAONESHO...

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) anawaalika wananchi wote katika Kongamano la Pili la Huduma za Maktaba za Taifa, Maonesho ya Vitabu, na Tamasha la Usomaji, litakalofanyika...

07 Nov, 2022