Kitengo cha Bibliografia ya Taifa ni sehemu ya Maktaba ya Taifa ambayo inatekeleza majukumu yafuatayo:
• Kuelimisha wachapishaji wa ndani juu ya namna bora ya kuchapisha machapisho kwa kushirikiana na wachapishaji kuona namna ya kuchapisha machapisho yenye maudhui ya kitaifa na utamaduni wa kitanzania.
• Kuwaunganisha wachapishaji kupitia uwasilishwaji wa machapisho kwa mujibu wa sheria (Legal Deposit)
• Kutoa namba ya utambulisho wa machapisho ISBN na ISSN kama wakala wa kimataifa ya Namba hizi nchini kisheria.