Sayansi na Tecknolojia
10 Nov, 2022
Kitabu hiki ni cha tano katika mfululizo wa vitabu vitano vya somo la Sayansi na Teknolojia kuanzia Darasa la Tatu hadi la Saba. Kitabu hiki kimeandaliwa kulingana na muhtasari wa somo la Sayansi na Teknolojia kwa Darasa la Saba wa mwaka 2019 uliotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kusoma zaidi tembelea: https://ol.tie.go.tz/books