Dhamira
Kutoa na kusambaza huduma sahihi kwa watu wote kwa wakati muafaka ili kuendeleza kisomo, kujiburudisha na kuendeleza utamaduni kwa jamii. Pia kukusanya, kutayarisha na kuhifadhi machapisho ya kitaifa kwa matumizi ya kizazi kijacho.