Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bibi Rehema Madenge alifungua rasmi maadhimisho ya Wiki ya Elimu ya Watu Wazima mnamo Oktoba 19, 2022, katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUCE) Chang'...
Mkurugenzi Mkuu wa TLSB Dk. Mboni Ruzegea alizindua rasmi hema la kusomea vitabu kwenye Maonesho ya 31 ya Kimataifa ya Vitabu yaliyofanyika katika viwanja vya Posta, Kijitonyama, Dar es Salaam Ok...
Meneja Mradi wa Ukarabati TLSB Mhandisi Mayenga Magembe wa Halmashauri ya Jiji Ilala, amekabidhi maeneo yatakayofanyiwa ukarabati Maktaba Kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa Local Fundi, ili kuanza zoezi h...
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) anawaalika wananchi wote katika Kongamano la Pili la Huduma za Maktaba za Taifa, Maonesho ya Vitabu, na Tamasha la Usomaji, litakalofanyika...