Divisheni ya watu wazima (RSD) hutoa huduma ya usomaji kwa watu wazima na miongozo mbalimbali ikiwemo jinsi ya kuanzisha, kuendesha na kutumia Maktaba nchini.
VITENGO KATIKA DIVISHENI
i. Kitengo cha Uazimishaji (Lending)
ii. Kitengo cha Kumbukumbu (Reference Services)
iii. Kitengo cha Vitabu vya Kiada
iv. Maktaba ya Wasioona (Library for Blind)
v. Maktaba ya Ilala
vi. Kona ya Afya (Health Corner)