Divisheni ya ufundi inajishughulisha na uandaaji, uagizaji, utayarishaji na usambazaji wa machapisho katika Maktaba za Mikoa, Wilaya na Tarafa. Pia inatoa huduma kwa Vyuo, Taasisi za Serik...
Divisheni ya Watoto na Shule (CSSD) hutoa huduma kwa watoto na wanafunzi, pia inahusika kutoa mwongozo katika uanzishaji wa maktaba za shule na vyuo, na kutembelea shule kuanzia za awali, msingi...
Kitengo cha Bibliografia ya Taifa ni sehemu ya Maktaba ya Taifa ambayo inatekeleza majukumu yafuatayo: • Kuelimisha wachapishaji wa ndani juu ya namna bora ya k...
Divisheni ya watu wazima (RSD) hutoa huduma ya usomaji kwa watu wazima na miongozo mbalimbali ikiwemo jinsi ya kuanzisha, kuendesha na kutumia Maktaba nchini. VITENGO KATIKA DIVISHENI i. &n...