Walimu 6,963 waliajiriwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Machi 2021 hadi mwezi Machi 2022. Katika idadi hiyo, walimu 4,044 ni wa Mhule za Msingi na walimu 2, 919 ni wa Shule za Sekondari.