Dira na Dhamira
Dira
Kuwa taasisi inayoongoza katika kukuza ubora, uwajibikaji na uadilifu katika utoaji wa ufundishaji bora katika Shule za Msingi na Sekondari. Dhima Kuhakikisha walimu wa Shule za Msingi na Sekondari wanahamasishwa sana kupitia ajira sahihi, kupandishwa vyeo, Nidhamu na usimamizi wa ustawi wao.