Tunaowahudumia
Tume inawahudumia Walimu katika makundi yafuatayo : -
- Walimu walioajiriwa kwenye Utumishi wa Umma (Shule za Msingi na Sekondari)
- Walimu walioajiriwa kwa mkataba ambao mafao yao hulipwa na Wizara ya Fedha na Mipango (Hazina)
-
Walimu waliohitimisha utumishi wao ,Walimu waliobadilisha kada na kujiunga na Waajiri wengine kwa kufuata taratibu za kiutumishi na Walimu waliofariki kabla tarehe 1 Julai, 2004 ambao malipo yao hulipwa na Wizara ya Fedha na Mipango (Hazina)