DAWATI LA KUHUDUMIA WASTAAFU

08 Apr, 2022

Katika kuthamini mchango wa Wastaafu katika Utumishi wa Walimu na Utumishi wa Umma kwa ujumla, Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) imeanzisha DAWATI LA KUHUDUMIA WASTAAFU. Huduma hiyo inapatikana TSC Makao Makuu, gharofa ya tatu (3) chumba namba 65.

 

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0754 472871/0756 505963/026 2322421.

 

KARIBU TUKUHUDUMIE!