Hawa ni walimu wa shule za Msingi na Sekondari waliobadilishiwa kazi/cheo baada ya kujiendeleza kimasomo na kukamilisha taratibu zinazohitajika. Idadi hii ya kuanzia mwezi Juni 2021 hadi mwezi Machi 2022.