Walimu Waliothibitishwa Kazini 6,767
Katika kipindi cha kuanzia mwezi Machi 2021 hadi mwezi Machi 2022 jumla ya walimu 6,767 wakithibitishwa kazini baada ya kukidhi vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa sheria. Katika idadi hiyo walimu 4,288 ni wa Shule za Msingi na walimu 2,479 ni wa Shule za Sekondari.