Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania

TLSB Logo TLSB Logo
Tafuta kwenye kwa

Huduma Zetu

...
DIVISHENI YA UFUNDI

Divisheni ya ufundi inajishughulisha na uandaaji, uagizaji, utayarishaji na usambazaji wa machapisho katika Maktaba za Mikoa, Wilaya na Tarafa. Pia inatoa huduma  kwa  Vyuo, Taasisi za Serik...

...
KITENGO CHA WATOTO WADOGO NA SHULE ZA MSINGI

Divisheni ya Watoto na Shule (CSSD) hutoa huduma kwa watoto na wanafunzi, pia inahusika kutoa mwongozo katika uanzishaji wa maktaba za shule na vyuo, na kutembelea shule kuanzia za awali, msingi...

...
KITENGO CHA BIBLIOGRAFIA YA TAIFA (NATIONAL BIBLIOGRAPHICAL...

Kitengo cha Bibliografia ya Taifa ni  sehemu ya Maktaba ya Taifa ambayo inatekeleza  majukumu yafuatayo: •    Kuelimisha wachapishaji wa ndani juu ya namna bora ya k...

...
HUDUMA ZA USOMAJI KWA WATU WAZIMA (READERS SECTION DIVISION...

Divisheni ya watu wazima (RSD) hutoa huduma ya usomaji kwa watu wazima na miongozo mbalimbali ikiwemo jinsi ya kuanzisha, kuendesha na kutumia Maktaba nchini. VITENGO KATIKA DIVISHENI i. &n...