KONGAMANO LA PILI LA KITAIFA LA HUDUMA ZA MAKTABA, MAONESHO YA VITABU NA USOMAJI
KONGAMANO LA PILI LA KITAIFA LA HUDUMA ZA MAKTABA, MAONESHO YA VITABU NA USOMAJI
Wednesday Nov 23, 2022
07:00-12.30
Tanga
TLSB inaandaa Kongamano la Pili la Kitaifa la Huduma za Maktaba, Tamasha la Vitabu na Usomaji.
Kongamano hili linatarajiwa kufanyika tarehe 23 na 24 mwezi Novemba, 2022, katika Hotel ya Tanga Beach Resort and Spa, jijini Tanga.
Mada mbalimbali zitawasilishwa sambamba na Tamasha la Vitabu na Usomaji.
Kongamano la kwanza lilizinduliwa rasmi mwaka jana 2021 jijini Dodoma na kukutanisha wadau mbalimbli wa masuala ya Ukutubi