Kongamano la Pili la Kitaifa la Huduma za Maktaba, Tamasha la Vitabu na Usomaji, 2022.
Wanafunzi wa shule ya Msingi Al-irshaad ya mkoani Dar es Salaam wakishiriki Maonesho ya 31 ya kimataifa ya Vitabu katika hema la usomaji la TLSB viwanja vya Posta Kijitonyama, Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba 2022.
Mkurugenzi Mkuu wa TLSB, Dkt. Mboni Ruzegea, akimkaribisha Balozi wa Urusi ndug. Andrey Avetisyan katika ofisi za TLSB Makao Makuu Dar es salaam Septemba 16, 2022.
Picha ya pamoja ya Menejimenti ya TLSB na Menejimenti ya TLA mara baada ya kikao kazi Septemba 8, 2022.
Mwenyekiti wa Bodi ya TLSB Prof. Rwekaza Mukandala pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TLSB Dkt. Mboni Ruzegea wakiwa katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chato Mkoani Geita kabla ya zoezi la kukabidhi nyaraka za ujenzi wa Maktaba ya Kumbukumbu ya JPM Chato Julai 14, 2022.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dr. Francis Michael akipokea zawadi ya Shajara kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Huduma za Maktaba (TLSB) Dkt. Mboni Ruzegea mara baada ya kutembelea Bodi hiyo Julai 28, 2022.
Kongamano la Pili la Kitaifa la Huduma za Maktaba, Tamasha la Vitabu na Usomaji
Kuwa Taasisi ya umma inayoongoza nchini katika kutoa na kusambaza taarifa mbalimbali kwa njia ya vitabu, machapisho na teknolojia ya kisasa kupitia mt...
Kutoa na kusambaza huduma sahihi kwa watu wote kwa wakati muafaka ili kuendeleza kisomo, kujiburudisha na kuendeleza utamaduni kwa jamii. Pia kukusany...
TLSB ni chombo kilichopewa mamlaka ya kisheria ya kupata, kupanga, na kusambaza, taarifa katika nyanja zote za maisha. Maarifa yaliyokusanywa kupitia...