Je kuna miradi ipi inatarajiwa kusimamiwa TLSB katika kipindi kilichopo?
Ndani ya kipindi kilichopo,TLSB inatarajia kusimamia mradi wa kukarabati jengo la makao makuu yake iliyopo Dar-es-Salaam pamoja na kujenga maktaba mpya mbili zitakazokuwepo wilayani Chato na Mkoani Arusha.