Nini kilipekea jina la Taasisi kubadilika kutoka Bodi ya Huduma za Maktaba Tanganyika na kuwa Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania?
Mwaka 1975, Sheria hiyo ilirekebishwa ambapo Sheria mpya ya Bunge Namba 6 ya mwaka 1975 iliundwa na kupelekea jina la Taasisi kubadilika kutoka Bodi ya Huduma za Maktaba Tanganyika na kuwa Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania .