Je, kuna aina ngapi za Maktaba zinazosimamiwa na TLSB?
Kuna aina nne za Maktaba zinazosimamiwa na TLSB ambazo ni Maktaba Kuu ya Taifa, Maktaba za Mikoa, Maktaba za Wilaya na Maktaba za Tarafa.