Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Tume yatangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Buhigwe na Udiwani katika Kata 18

02 Feb, 2023 Pakua

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Buhigwe na Udiwani katika Kata 18 za Tanzania Bara