Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe na Udiwani katika Kata Tano

02 Feb, 2023 Pakua

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe na Udiwani katika Kata Tano za Tanzania Bara.