Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Tume yatangaza Uchaguzi Mdogo wa Madiwani katika Kata 14 utakaofanyika Julai 13, 2023

14 Jun, 2023 Pakua

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Madiwani katika Kata 14 za Tanzania Bara utakaofanyika tarehe 13 Julai mwaka 2023.