Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Uhakiki wa Taarifa za Mpiga Kura

Mpiga kura aliyejiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura anaweza kuhakiki taarifa zake kupitia moja ya njia zifuatazo;

1. Kupitia mfumo wa VIS (Voters Interaction System)

2.Kuptia USSD *152*00# kisha fuata maelekezo

3.Kufika katika kituo ambacho ulijiandikisha na kuhakiki taarifa zake

4.Kupitia Tovuti ya Tume inayopatikana kwa anuani ya www.nec.go.tz na kubofya sehemu iliyoandikwa Uhakiki wa Taarifa za Mpiga Kura.