Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Kwa nini Ujiandikishe kuwa Mpiga Kura

• Ili kuweza kutimiza haki yako katika Kupiga Kura siku ya Kura ya Maoni na Uchaguzi.

• Kuweza kushiriki katika uongozi Nchi yako.