Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Nani anapoteza sifa za kuandikishwa kuwa Mpiga kura?

• Ikiwa ana Uraia wa Nchi nyingine yaani sio Raia wa Tanzania,• Amehukumiwa kifungo cha zaidi ya Miezi Sita,
• Amehukumiwa kifo na Mahakama za Tanzania,

• Amethibitika kuwa hana Akili timamu