Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Nini kitatokea ikiwa mtu amejiandikisha zaidi ya mara moja?

Ni kosa la jinai mtu kujiandikisha zaidi ya mara moja, na ikitokea, mtu ataadhibiwa kulingana na sheria za Uchaguzi