Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Watumishi wa Tume washiriki MEI MOSI Mkoa wa Dodoma

01 May, 2023 - 02 May, 2023
06:00:00 - 13:00:00
Jamhuri, Dodoma
NEC

Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wameungana na wafanyakazi kote kuadhimisha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kwa mwaka 2023 kwa kushiriki katika maandamano Mkoa wa Dodoma kuanzia viwanja vya Bunge hadi Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Watumishi wa Tume washiriki MEI MOSI Mkoa wa Dodoma