Watumishi wa Tume wafanya usafi Kituo cha Afya Makole Jijini Dodoma, kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma Nchini
22 Jun, 2023 - 23 Jun, 2023
08:30:00 - 14:00:00
Makole, Dodoma
NEC
Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, wakifanya usafi wa mazingira katika kituo cha Afya Makole kilichopo jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma nchini ambayo hufanyika kila mwaka kuanzia tarehe 16-23 Juni, 2023.
