Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Watumishi wa Tume wachangia damu chupa 14 Kituo cha Afya Makole Jijini Dodoma, kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma nchini

22 Jun, 2023
08:30:00 - 14:30:00
Makole, Dodoma
NEC

Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, wakichangia damu katika kituo cha Afya Makole kilichopo jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma nchini. Watumishi hao wamechangia damu chupa 14.

Watumishi wa Tume wachangia damu  chupa 14 Kituo cha Afya Makole Jijini Dodoma, kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma nchini