Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Washiriki wa mafunzo wa Wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo wa Kata 14 wakifuatilia mafunzo

21 Jun, 2023
09:00:00 - 16:00:00
Tanga
NEC

Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo na kata, wakifuatilia mafunzo yanayofanyika mkoani Tanga ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Madiwani katika kata 14 za Tanzania Bara utakaofanyika Julai 13, 2023.

Washiriki wa mafunzo wa Wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo wa Kata 14 wakifuatilia mafunzo