Washiri wa Mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi wakila kiapo kabla ya kuanza mafunzo
21 Jun, 2023
09:00:00 - 16:00:00
Iringa
NEC
Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo na kata, wakila kiapo kabla ya kuanza mafunzo yaliyofanyika mkoani Iringa ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Madiwani katika kata 14 za Tanzania Bara utakaofanyika Julai 13, 2023.
