Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Wagombea wa Chama cha Mapinduzi na UDP wateuliwaa kugombea Udiwani Kata ya Kinyika, Halmashauri ya Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe

30 Jun, 2023
09:00:00 - 16:00:00
Kinyika, Makete
NEC

Wagombea wa Chama cha Mapinduzi na UDP wakiwa na viongozi wa vyama hivyo, wakikagua fomu za uteuzi nje ya ofisi ya Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi wa  Kata ya Kinyika iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Maket, baada ya uteuzi wa wagombea Udiwani katika kata hiyo. 

Wagombea wa Chama cha Mapinduzi na UDP wateuliwaa kugombea Udiwani Kata ya Kinyika, Halmashauri ya Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe