Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa, Mhe. Jacobs Mwambegele azungumza na wasimamizi wa vituo vya kupigia kura Jimbo la Mbarali

16 Sep, 2023
09:00:00 - 17:00:00
Mbarali, Mbeya
NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa, Mhe. Jacobs Mwambegele akizungumza na wasimamizi wa vituo vya kupigia kura wa Jimbo la Mbarali kwenye mafunzo ya watendaji hao ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Ubunge wa jimbo hilo unaotarajiwa kufanyika tarehe 19 Septemba, 2023.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa, Mhe. Jacobs Mwambegele azungumza na wasimamizi wa vituo vya kupigia kura Jimbo la Mbarali