Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa, Mhe. Jacobs Mwambegele akagua vifaa vya Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali

15 Sep, 2023
09:00:00 - 16:00:00
Mbarali, Mbeya
NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa, Mhe. Jacobs Mwambegele akikagua vifaa vya uchaguzi wakati alipotembelea Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi  Jimbo la Mbarali ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Ubunge wa jimbo hilo unaotarajiwa kufanyika tarehe 19 Septemba, 2023.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa, Mhe. Jacobs Mwambegele akagua vifaa vya Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali