Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali Bw. Missana Kwangura azungumza na wasimamizi wa vituo vya kupigia kura kwenye mafunzo

17 Sep, 2023
08:00:00 - 16:00:00
Mbarali, Mbeya
NEC

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya Bw. Missana Kwangura akizungumza na wasimamizi wa vituo vya kupigia kura kwenye mafunzo ya kujiandaa na Uchaguzi Mdogo wa Ubunge wa jimbo hilo unaotarajiwa kufanyika tarehe 19 Septemba, 2023.

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali Bw. Missana Kwangura azungumza na wasimamizi wa vituo vya kupigia kura kwenye mafunzo