Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali Bw. Missana Kwangura akimteua Mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo Modestus Dickson Kilufi kugombea Ubunge Uchaguzi Mdogo tarehe 19 Septemba, 2023.
19 Aug, 2023
08:00:00 - 16:00:00
Mbarali, Mbeya
NEC
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali Bw. Missana Kwangura akimkabidhi nakala ya fomu za uteuzi mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo Modestus Dickson Kilufi baada ya kumteua kuwa mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Mbarali unaotarajiwa kufanyika tarehe 19 Septemba, 2023.
