Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali Bw. Missana Kwangura akibandika fomu za uteuzi za wagombea wa vyama 13 kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa tarehe 19 Septemba, 2023.
19 Aug, 2023
08:00:00 - 16:00:00
Mbarali, Mbeya
NEC
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali Bw. Missana Kwangura akibandika fomu za uteuzi za wagombea kutoka vyama 13 kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa tarehe 19 Septemba, 2023.
