Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali Bw. Missama Kwangura akimteua Mgombea wa Chama cha NLD Bi Fatuma Rashidi Ligania, kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa 19 Septemba, 2023.

19 Aug, 2023
08:00:00 - 16:00:00
Mbarali, Mbeya
NEC

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali Mkoa wa Mbeya Bw. Missama Kwangura akimkabidhi fomu za uteuzi mgombea wa Chama cha NLD Bi Fatuma Rashidi Ligania, kugombea Ubunge  katika Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika tarehe 19 Septemba, 2023.

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali Bw. Missama Kwangura akimteua Mgombea wa Chama cha NLD Bi Fatuma Rashidi Ligania, kugombea Ubunge  katika Uchaguzi Mdogo wa 19 Septemba, 2023.