Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Madaba Bw. Sajidu Idrisa (kushoto) akimkabidhi cheti cha ushindi diwani mteule wa Kata ya Mtyangimbole Bw. Diwani Ngonyani wa CCM

19 Sep, 2023
18:00:00 - 19:00:00
Mtyangimbole, Madaba
NEC

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Madaba Bw. Sajidu Idrisa (kushoto) akimkabidhi cheti cha ushindi diwani mteule wa Kata ya Mtyangimbole iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Bw. Diwani Ngonyani wa Chama cha Mapinduzi baada ya kumtangaza mshindi kwa kupata kura 3,960 katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani wa kata hiyo uliofanyika tarehe 19 Septemba, 2023.

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Madaba Bw. Sajidu Idrisa (kushoto) akimkabidhi cheti cha ushindi diwani mteule wa Kata ya Mtyangimbole Bw. Diwani Ngonyani wa CCM