Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Mfaranyaki Bw. Bakari Athumani Kawina (kushoto) akimkabidhi cheti cha ushindi diwani mteule wa kata hiyo Bw. Kayombo Christopher Fabian

19 Sep, 2023
18:00:00 - 18:32:00
Mfaranyaki, Songea
NEC

Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Mfaranyaki Bw. Bakari Athumani Kawina (kushoto) akimkabidhi cheti cha ushindi diwani mteule wa kata hiyo Bw. Kayombo Christopher Fabian wa Chama cha Mapinduzi baada ya kumtangaza mshindi kwa kupata kura  katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani wa kata hiyo uliofanyika tarehe 19 Septemba, 2023.

Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Mfaranyaki Bw. Bakari Athumani Kawina (kushoto) akimkabidhi cheti cha ushindi diwani mteule wa kata hiyo Bw. Kayombo Christopher Fabian