Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kalola Halmashauri ya Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora amepokea fomu ya uteuzi kutoka kwa mgombea wa Chama cha ADC Bw.Yasin Juma Masilamba
30 Jun, 2023
08:00:00 - 16:00:00
Kalola, Uyui
NEC
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi kata ya Kalola katika Halmashauri ya wilaya ya Uyui mkoani Tabora Bw.Marco Mande Ezekiel (Kulia) akipokea fomu ya uteuzi kutoka kwa Bw.Yasin Juma Masilamba (Kushoto) kupitia Chama cha ADC mara baada ya kurejesha fomu hiyo Tarehe 30 Juni, 2023.
