Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Mpiga Kura mwenye mahitaji maalum akisaidiwa kuingia kwenye kituo cha kupigia kura ili aweze kupiga kura Kata ya Mfaranyaki

19 Sep, 2023
07:30:00 - 08:00:00
Mfaranyaki, Songea
NEC

Mpiga Kura mwenye mahitaji maalum akisaidiwa kuingia kwenye kituo cha kupigia kura ili aweze kutimiza haki yake ya kupiga kura katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani Kata ya Mfaranyaki katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea  uliofanyika leo tarehe 19 Septemba, 2023.

Mpiga Kura mwenye mahitaji maalum akisaidiwa kuingia kwenye kituo cha kupigia kura ili aweze kupiga kura Kata ya Mfaranyaki