Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndg. Ramadhani Kailima ampongeza Mhe.Waziri Jenister Mhagama baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya 2023/2024.

13 Apr, 2023
16:00:00 - 16:00:00
Bungeni, Dodoma
NEC

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndg. Ramadhani Kailima akimpongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenister Mhagama na viongozi wa wizara hiyo baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndg. Ramadhani Kailima ampongeza Mhe.Waziri Jenister Mhagama baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya 2023/2024.