Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Mkurugenzi wa Uchaguzi akutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni Jijini Dodoma.

07 Apr, 2023
00:00:00 - 13:00:00
Bungeni, Dodoma
NEC

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndg. Ramadhani Kailima amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ofisini kwa Spika Bungeni Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Uchaguzi akutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni Jijini Dodoma.