Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa, Mhe. Mwanaisha Kwariko atoa nasaha kwa Makarani Waongozaji Wapiga Kura Kata ya Nala kujiandaa na Uchaguzi Mdogo wa Udiwani

15 Sep, 2023
09:00:00 - 16:00:00
Nala, Jiji la Dodoma
NEC

Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa, Mhe. Mwanaisha Kwariko akitoa nasaha kwa Makarani Waongozaji Wapiga Kura baada ya mafunzo kwa makarani hao yaliyofanyika katika Kata ya Nala kujiandaa na Uchaguzi Mdogo wa Udiwani wa kata hiyo unaotarajiwa kufanyika tarehe 19 Septemba, 2023.

Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa, Mhe. Mwanaisha Kwariko atoa nasaha kwa Makarani Waongozaji Wapiga Kura Kata ya Nala kujiandaa na Uchaguzi Mdogo wa Udiwani