Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Mbunge Mteule wa Jimbo la Mbarali kupitia Chama cha Mapinduzi Bi. Bahati Ndingo akionesha hati ya ushindi baada ya kumtangazwa kuwa mshindi katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge wa jimbo hilo

20 Sep, 2023
09:40:00 - 09:56:00
Mbarali, Mbeya
NEC

Mbunge Mteule wa Jimbo la Mbarali na aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi Bi. Bahati Ndingo akionesha hati ya ushindi aliyopewa na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali Bw. Missana Kwangura baada ya kumtangazwa kuwa mshindi katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge wa jimbo hilo uliofanyika tarehe 19 Septemba, 2023.

Mbunge Mteule wa Jimbo la Mbarali kupitia Chama cha Mapinduzi Bi. Bahati Ndingo akionesha hati ya ushindi baada ya kumtangazwa kuwa mshindi katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge wa jimbo hilo