Makamu Mwenyekiti Jaji Mst. Rufaa Mbarouk afungua mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi
21 Jun, 2023
08:00:00 - 12:00:00
Tanga
NEC
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Rufaa Mbarouk Salim Mbarouk akifunga mafunzo ya siku tatu kwa wasimamizi wa uchagizi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Jimbo na Kata yaliyofanyika jijini Tanga.
