Mafunzo ya kuwajengea uwezo wajumbe wapya na maafisa waandamizi wa Tume za Uchaguzi za Ukanda wa SADC
22 Nov, 2022 - 25 Nov, 2022
09:30:00 - 17:00:00
Dar es Salaam
NEC
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amefungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wajumbe wapya na maafisa waandamizi wa Tume za Uchaguzi za Ukanda wa SADC
