Maafisa wa Tume Vicent Kazimoto (kushoto) na Nuru Riwa (katikati) wakitoa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Redio Uyui FM kuhusu Uchaguzi Mdogo wa Madiwani Kata 13
30 Jun, 2023
08:00:00 - 16:00:00
Uyui, Tabora
NEC
Maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Vicent Kazimoto (kushoto) na Nuru Riwa (katikati) wakitoa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Redio Uyui FM ya Halmashauri ya Manispaa ya Tabora kuhusu Uchaguzi Mdogo wa Madiwani katika Kata 13 za unaofanyika terehe 13 Julai, 2023.
