Kikao cha Pamoja kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar
13 Nov, 2022
09:00:00 - 16:00:00
Zanzibar
NEC
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefanya kikao na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kujadili mambo mbalimbali ya ushirikiano kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
